Nicholas Haysom

Tuko pamoja na msimamo wa AU Sudan:Haysom

Habari zilizotolewa leo na duru mbalimbali zinasema pande kinzani nchini Sudan zimetiasaini makubaliano ya kisiasa, na majadiliano zaidi yataendelea Ijumaa Julai 19 wiki hii katika masuala nyeti ambayo ni “kukubaliana kuhusu azimio la katiba ya mpito ambayo itaamua mfumo wa kushirikia

Sauti -
3'21"

Tunashikamana na AU kuhakikisha utawala wa kiraia unarejea Sudan: Haysom

Habari zilizotolewa leo na duru mbalimbali zinasema pande kinzani nchini Sudan zimetiasaini makubaliano ya kisiasa, na majadiliano zaidi yataendelea Ijumaa Julai 19 wiki hii katika masuala nyeti ambayo ni “kukubaliana kuhusu azimio la katiba ya mpito ambayo itaamua mfumo wa kushirikiana madaraka kati ya TMC na FFC, ikiwemo mfumo wa vyombo vya utawala na ni asilimia ngapi iende kwa kila upande katika baraza la Rais.”

Heko Said Abdullahi Deni kwa kuchaguliwa Rais wa Puntland

Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Raisedon Zenenga amepongeza kuchaguliwa kwa Said Abdullahi Deni kuwa Rais mpya wa eneo la Puntland kaskazini-mashariki mwa Somalia.

Baraza la Usalama la UN lazungumzia kutotakiwa kwa Haysom Somalia

Baada ya Nicholas Haysom, mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia kutotakiwa tena nchini humo Baraza la Usalama la umoja huo nalo limepaza sauti.

Guterres amwondoa Haysom, kuteua mwakilishi wake mpya kwa Somalia

Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea masikitiko yake kufuatia hatua ya serikali ya Somalia ya kumtangaza kutotakiwa na hivyo kutakiwa kuondoka nchini humo, mwakilishi wake maalum Nicholas Haysom.

Somalia yasonga mbele, licha ya changamoto za kisiasa, kiuchumi na kiusalama- Haysom

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Haysom, leo amehutubia Baraza la Usalama la Umoja huo jijini New York, Marekani akitoa tathmini ya hali ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi.

Jimbo la Kusini Magharibi Somalia laaswa kufanya uchaguzi wa amani: UNSOM

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia UNSOM umetoa wito kwa pande zote husika kenye  uchaguzi ujao wa urais katika Jimbo la  Kusini Magharibi nchini Somalia , kushirikiana  kuhakikisha kuwa mchakato huo unamalizika vizuri na kufuata utaratibu uliowekwa.

UNSOM yapata kiongozi mpya

Nicholas Haysom, raia wa Afrika Kusini ameteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuwa mwakilishi wake nchini Somalia.