Msemaji wa Umoja wa Mataifa Dujarric amesema kuwa Katibu Mkuu Antonio Guterres, ametiwa moyo na tangazo la Marekani na Korea kaskazini kukubali kuzungumza manamo mwezi Mei.
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Dujarric amesema kuwa Katibu Mkuu Antonio Guterres, ametiwa moyo na tangazo la Marekani na Korea kaskazini kukubali kuzungumza mnamo mwezi Mei.
Vijana wana mchango mkubwa katika kusongesha ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo endelevu au SDG’s . Hayo yamesisitizwa katika jukwaa la vijana la Umoja wa Mataifa 2018 lililokunja jamvi hii leo kwenye makao makuu ya Umoja huo New York Marekani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameonya kuwa chuki inaongezeka duniani akitaka kila mtu kuwa chonjo na chuki dhidi ya wayahudi na ubaguzi mwingine wowote ule.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameonya kuwa chuki inaongezeka duniani akitaka kila mtu kuwa chonjo na chuki dhidi ya wayahudi na ubaguzi mwingine wowote ule.
Kufuatia uamuzi wa raia wa Sudan Kusinikuanza kurejea nyumbani kutoka ukimbizini huko Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Umoja wa Mataifa umechukua hatua kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yao.