Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

ndege zisizo na rubani

© UNFPA Botswana

Vijana waishukuru UNICEF kwaufadhili wa mafunzo ya ndege zinazoruka bila rubani

Miaka miwili na nusu iliyopita, kupitia hapa hapa katika Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa tulikufahamisha kuhusu kuanzishwa kwa shule ya kwanza ya mafunzo kuhusu takwimu na ndege zinazoruka bila rubani (Drone), ADDA ilipofunguliwa nchini Malawi kwa ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.  Sasa shule hiyo inaendelea vizuri na wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali wanaosoma hapo wanaushukuru Umoja wa Mataifa kwa kuwafanikishia elimu hii muhimu itakayosaidia katika maendeleo siyo tu ya jamii za sasa na kwa siku zijazo bali pia malengo ya maen

Sauti
2'39"
Debora Mtambalika ni mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Afrika cha mafunzo ya kutengeneza ndege zisizo na rubani, ADDA nchini Malawi.
© UNICEF/UNI280220

Shukrani kwa UNICEF kutupatia mafunzo ya ndege zisizo na rubani ndani – Vijana Afrika

Miaka miwili na nusu iliyopita, kupitia hapa hapa katika Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa tulikufahamisha kuhusu kuanzishwa kwa shule ya kwanza ya mafunzo kuhusu takwimu na ndege zinazoruka bila rubani (Drone), ADDA ilipofunguliwa nchini Malawi kwa ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.  Sasa shule hiyo inaendelea vizuri na wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali wanaosoma hapo wanaushukuru Umoja wa Mataifa kwa kuwafanikishia elimu hii muhimu itakayosaidia katika maendeleo ya jamii za sasa na kwa siku zijazo.

Sauti
2'39"