Leo ni siku ya Ndege wanaohama duniani
Oktoba 8 kila mwaka ni siku ya Ndege wanaohama duniani. Mwaka huu siku hiyi imejikita katika katika tatizo la mwanga wa bandia wa taa ambayo unaleta tishio kubwa kwa ndege, kwani unaongoza kwa kuchanganyikiwa kwao wakati wa usiku ndege hao wanaposafiri na kuharibu mwelekeo wao wakati wanapohama kwenda umbali mrefu.