Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Kwa mara ya kwanza rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki katika Baraka kuu la Umoja wa Mataifa linalotarajia kuanza tarehe 21 mpaka 27 Septemba 2022.