Na mimi nimo

Mbio za Selous zachagiza uhifadhi wa mazingira na utalii

Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kushirikiana na serikali katika kuhifadhi mazingira sambamba na kuhakikisha kuwa uhifadhi huo unachangia katika kuongeza kipato kwa wananchi. Assumpta Massoi na maelezo zaidi. 

Sauti -
2'

Mbio za Selous zachagiza uhifadhi wa mazingira na utalii

Nchini Tanzania, Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kushirikianana serikali katika kuhifadhi mazingira sambamba na kuhakikisha kuwa uhifadhi huo unachangia katika kuongeza kipato kwa wananchi.