Sajili
Kabrasha la Sauti
Watoto wakimbizi kwenye kambi tatu nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata elimu, maelfu wakilazimika kusomea nje chini ya miti kutokana na ukosefu wa fedha za ujenzi wa madarasa limesema shirika la kuhudumia wakimbizi