muziki

Eric Museveni, mkimbizi kutoka DRC asema Muziki umenipatia ndugu ukimbizini

Eric Museveni mwenye umri wa miaka 29, bila familia yake, alipoikimbia nchi yake ya Jamhuri ya kidemkorasia ya Congo mwaka 2015 na kuingia mjini Nairobi Kenya hakujua kuwa iko siku atapata familia mpya.

Sauti -
1'38"

Mkimbizi kutoka Burundi akiwa kambini Kakuma atumia muziki kubadilisha maisha yake 

Alipoondoka nchini Burundi akiandamana na dada yake mwaka 2009,  msichana Azam Zabimana alikuwa na umri wa miaka 15.

Sauti -
3'48"

Sote tuwe wainjilisti wa dunia yenye mazingira bora- Rocky

Nyota ya mwanamuziki mashuhuru kutoka Ghana, Rocky Dawuni inazidi kung'ara  katika anga za kuchechemu dunia kutekeleza yale yaliyo bora kwa maslahi ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.

Sauti -
2'47"

Muziki kimbilio kwa watoto wenye shida Afghanistan.

Nchini Afghanistan, mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia umekuwa nuru kwa watoto na vijana hususan wanaotoka katika familia masikini.

Sauti -
3'22"

Burudani ya muziki huleta pamoja jamii tofauti

Sanaa ya muziki hutumika kuburudisha , kuelimisha na pia kuleta jamii mbalimbali pamoja.

Sauti -
3'42"

Ndoto zilizoingia katika mashaka ukimbzini, Uganda.

Vijana  ndio nguzo za kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, kwani ndio viongozi wa sasa na  wa hapo baadaye. Lakini wengi wanakabiliwa na  changamoto za kuweza kufanya vitu ambavyo vitawafaa hapo baadaye. Hali ya vijana katika mataifa yanayaoinukia ni ya shida mno.

Sauti -
3'45"

Usanii wanufaisha wakimbizi nchini Kenya

Katika tamasha la Muziki lililoleta pamoja washiriki zaidi ya 20 kutoka kambi ya Wakimbizi  ya Kakuma na Dadaab, pamoja na wanamuziki wengine kutoka mji mkuu Nairobi nchini Kenya, tunamulika ujasiri wa Mwanamuziki Ali Doze, Msanii ambaye ni mmoja wa wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya.

Sauti -
4'4"

Mshikamano wakati wa dhiki ndio faraja yangu: Midori

Mshikamano wakati wa dhiki ndio faraja yangu: Midori

Hivi karibuni tetemeko la ardhi nchini Mexico lilisababisha vifo, majeruhi na mamia ya watu kukosa makazi.

Sauti -

Wasaka hifadhi na wakimbizi vijana waona nuru huko Ujerumani