Muungano wa Afrika

Nuru yaangukia wahamiaji walioteswa Libya

Nuru yaangukia wahamiaji walioteswa Libya

Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, limeanza operesheni ya  kuwarejesha makwao maelfu ya wahamiaji, kufuatia makubaliano baina ya shirika hilo, Muungano wa Afrika, AU, Muungano wa Ulaya, EU na serikali ya Libya.

Sauti -