Msumbiji

Uhamiaji sio shida Afrika la msingi kutovunja sheria- Rais Nyusi

Suala la uhamiaji likiendelea kuibua vuta nikuvute, Msumbiji imesema kuwa la msingi ni watu kufuata sheria kwani uhamiaji umekuwepo na utaendelea kuwepo.

Tukifanikiwa katika kilimo na utalii, tutafanikisha SDGs Msumbiji:Rais Nyusi

Mchakato wa utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu au SDG’s hautaki papara bali unahitaji busara na kutoa kipaumbele katika malengo mama.

Sauti -
4'17"

Maeneo mapya 24 kujiunga na mtandao wa hifadhi ya urithi wa dunia wa UNESCO

Baraza la kimataifa la uratibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO kuhusu mpango wa binadamu na mazingira, leo limeongeza maeneo mapya 24 kwenye mtandao wa hifadhi ya urithi wa dunia (MAB) katika mkutano unaoendelea mjini Palembang nchini Indonesia.

UN yashikamana na Msumbiji kuimarisha ulinzi wa wafanyakazi wahamiaji

Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la wahamiaji IOM, la kazi ILO na ofisi ya Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa yameshikama na serikali ya Msumbiji kuhakikisha ulinzi kwa wafanyakazi wahamiaji.

06 Julai 2018

Katika Jarida la habari Ijumaa ya leo, Assumpta Massoi anamulika mambo tofauti mfano:

Sauti -
12'35"

Mtaala wa ujasiriamali wawezesha wanafunzi Msumbiji kujikimu

Barani Afrika idadi ya vijana kama ilivyo katika mabara mengine inaongezeka kila uchao. Kasi ya ongezeko hilo haiendi sambamba na mabadiliko ya stadi shuleni ili waweze kupata ujuzi wa kuwawezesha kukabiliana na maisha yao. Ni kwa kuzingatia hilo, Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la maendeleo ya viwanda, UNIDO limeanzisha mradi wa kujumuisha mtaalamu wa ujasiriamali katika shule za msingi na sekondari barani Afrika. Miongoni mwa nchi zilizoanza kunufaika na mradi huo ni Msumbiji.

Sauti -
3'30"

Dola Milioni 105 kunufaisha Mama na Mtoto Msumbiji

Huduma ya msingi ya afya kwa mama na mtoto sasa itaimarika nchini Msumbiji baada ya Benki ya dunia kuidhinisha dola Milioni 105 kwa ajili ya kuipa serikali ya nchi hiyo.

Sauti -

Dola Milioni 105 kunufaisha Mama na Mtoto Msumbiji