Kwa mujibu wa shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP misitu ni rasilimali adhimu katika suala zima la uhifadhi wa mazingira na kudhibiti mabadiliko ya
Serikali na asasi za kiraia zimeamua kushika usukani katika kuwasidia watu waishio milimani kukabiliana vyema na mabadiliko ya tabia nchi, njaa na uhamiaji kwa mujibu wa ripoti ya shirika la chakula na kilimo