Idadi ya majeruhi DRC sasa ni 63, Guterres apaza sauti
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali mauaji ya waandamanaji huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC akisema kitendo hicho hakikubaliki.
Yaelezwa kuwa wakati wa maandamano hayo watu 6 waliuawa ilihali idadi ya majeruhi sasa ni 63.
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric akizungumza na waandishi wa habari mjini New York, Marekani hii leo amesema..
(Sauti ya Stephane Dujarric)