msaada

WHO kuanza kampeni ya chanjo dhidi ya dondakoo kwa wakimbizi wa Rohingya

WHO kuanza kampeni ya chanjo dhidi ya dondakoo kwa wakimbizi wa Rohingya

Shirika la afya ulimwenguni WHO leo llimetangaza kuzindua kampeni kubwa ya chanjo ili kusitisha kusambaa kwa maradhi ya kupumua miongoni mwa wakimbizi wa Rohi

Sauti -

Umoja wa Mataifa watoa dola milioni 2.2 kusaidia wakazi wa Ukanda wa Gaza

Umoja wa Mataifa watoa dola milioni 2.2 kusaidia wakazi wa Ukanda wa Gaza

Umoja wa Mataifa umetoa dola milioni 2.2 kusaidia mahitaji ya dharura kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

Sauti -

WHO yatoa msaada wa vifaa vya tiba Libya

WHO yatoa msaada wa vifaa vya tiba Libya

Shirika la afya duniani  WHO limetoa msaada wa mitambo ya kusaidia kupumua kwa wangonjwa mahututi katika hospitali ya Tragen kusini mwa Libya

Sauti -

WFP, IFAD na FAO wachukua hatua kutokomeza njaa ifikapo 2030

WFP, IFAD na FAO wachukua hatua kutokomeza njaa ifikapo 2030

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu huko mjini Roma Italia, yameazimia kushirikiana ili kutokomeza njaa katika nchi masikini kwa mujibu wa ajenda ya  2030.

Sauti -