msaada wa chakula

WFP imeanza tena operesheni zake za kusambaza chakula jimboni Tigray

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani, WFP limeanza tena operesheni zake za kusambaza chakula jimboni Tigray nchini Ethiopia baada ya kusitisha wiki iliyopita kutokana na mashambulizi kutoka jeshi la nchi hiyo. Tayari shirika hilo limepatia msaada wa chakula takriban Watu 10,000 katika eneo la Adi Nebried. 

Njaa kufikia watu 28,000 mwezi Octoba 2021 nchini Madagascar

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP, David Beasley, ameiomba dunia kutoipa kisogo Masdagascar ambako m

Sauti -
3'19"

Chonde chonde dunia tusiipe kisogo Madagascar watu wanakufa njaa:WFP

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP, David Beasley, ameiomba dunia kutoipa kisogo Madagascar ambako maelfu ya watu wanakabiliwa na njaa kali na badala yake kujitoa na kuchukua hatua haraka baada ya kushuhudia mgogoro mkubwa usioonekana wa njaa unaoendelea Kusini mwa nchi hiyo  na kuathiri jamii nzima. 

Mkimbizi wa ndani aishukuru WFP kwa msaada wa chakula.

Mkimbizi wa ndani Abbas Adu na wengine laki 4 wamelishukuru Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula WFP kuwapatia msaada

Sauti -
2'2"

Juni 23 2021

Katika kufanikisha lengo la Muungano wa Afrika, AU kuhakikisha asilimia 60 ya wakazi wa bara lake wamepatiwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona au COVID-19 ifikapo mwaka 2022, Benki ya Dunia na

Sauti -
11'45"

WFP imelaani vikali uporaji wa chakula chake cha msaada Jonglei Sudan Kusini

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP, limelaani vikali uporaji wa chakula chake cha msaada na uharibifu wa ghala lake la kuhifadhi misaada ya kibinadamu kwenye eneo la Pobor jimboni Jonglei nchini Sudan Kusini.

WFP kushirikiana na NGOs na sekta binafsi kusambaza haraka chakula kwa wahitaji

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP hivi sasa limegeukia njia mbalimbali bunifu katika mnyororo wake wa usambazaji Afrika Mas

Sauti -
3'22"

ATM kuanza kutumika kugawa chakula kwa wahitaji Afrika Mashariki na Kati- WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP hivi sasa limegeukia njia mbalimbali bunifu katika mnyororo wake wa usambazaji Afrika Mashariki na Kati kwa lengo la kuokoa na kubadili haraka maisha ya mamilioni ya watu wanaohitaji msaada. Je ni mbinu gani hizo ?.

NIlisaidiwa , sasa ni wakati wangu kusaidia :Liberee

Wahenga walinena ukishikwa shikamana, na ndivyo anavyofanya Liberee Kayumba ambaye ni manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika mwaka 1994, anasema yuko hai leo hii sababu ya msaada wa chakula wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula

Sauti -
2'12"

Lishe ya WFP iliniokoa, sasa natumikia WFP kusaidia wengine- Liberee Kayumba

Wahenga walinena ukishikwa shikamana, na ndivyo anavyofanya Liberee Kayumba ambaye ni manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda dhidi ya Watutsi yaliyofanyika mwaka 1994, anasema yuko hai leo hii sababu ya msaada wa chakula wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP , ambao ulimuhamasisha baadaye kujiunga na shirika hilo kusaidia wakimbizi wa Burundi kama alivyosaidiwa.