Model UN

Vijana shikeni usukani, tunawategemea katika kutimiza SDGs:Guterres

Vijana kote duniani wametakiwa kushika hatamu za kusongesha mbele ajenda ya maendeleo endelevu SDGs kwa sababu sauti zao ni muhimu na uwezo wanao.

10 Septemba 2018

Jarida la leo Jumatatu 10 Septemba 2018 limejaa taarifa kemkem:

Bachelet kahutubia baraza la haki za binadamu kwa mara ya kwanza;

Sauti -
12'17"

Vijana wana fursa ya kusaka suluhu ya wakimbizi:Model UN

Vijana wana fursa klubwa ya kuchangia katika kupata suluhu ya changamoto za wakimbizi hususani barani afrika endapo watashirikishwa kikamilifu.

Mchango wa vijana kwa suluhu ya wakimbizi waweza kufaa

Vijana wanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kusaka suluhu ya changamoto zinazowakabili wakimbizi na hasa vijana wenzao. Hayo yamesemwa na baadhi ya vijana wanaohudhuria vikao vya mfano wa Umoja wa Mataifa (Model UN) vinavyohitimishwa leo mjini New York Marekani.

Sauti -
1'25"