misitu

Mfuko wa mazingira duniani na FAO wasaidia nchi kuwa na takwimu bora na sahihi za misitu

Shirika la Chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (

Sauti -
1'23"

11 Novemba 2019

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanzia nchini Kenya ambako msaada wa chakula umepelekwa kaunti za Mandera, Wajir, Garissa na Tana River ambako mafuriko yameleta adha.

Sauti -
11'19"

FAO na GEG wajumuika katika mradi kwa kuwezesha upatikanaji wa takwimu kuhusu misitu

Shirika la Chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limezindua mradi mpya wa  dola milioni 7.1 unaosaidiwa na mfuko wa mazingira duniani, (GEF) kuwezesha upatikanaji wa takwimu kuhusu misitu, zilizo za uwazi na haswa zinazosaidia nchi zinazoendelea kutekeleza makubaliano ya mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi.

Tusipolinda bayoanuai dunia nzima itakuwa mashakani:UN

Bayoanuai ni muhimu sana kwa afya ya binadamu na mustakbali wa dunia amesema leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake kwa ajili ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya bayoanuai akisisitiza kuwa sisitiza kuwa na viumbe vingine vyote katika mfumo wa maisha.

Uelimishaji jamii kuhusu uhifadhi endelevu wa misitu ni suala mtambuka

Elimu kuhusu uhifadhi endelevu wa misitu ni moja ya ajenda muhimu katika harakati za Umoja wa Mataifa  za kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu, SDGs au ajenda 2030. 

Sauti -
4'23"

Uhifadhi wa misitu unahitaji ushiriki wa jamii, serikali na mashirika- FAO Kenya

Misitu na miti kwa ujumla vina faida na mchango mkubwa kwa ajili ya maisha ya watu lakini pia sayari Dunia, kuimarisha vipato, kuleta hewa safi, kuwa ni vyanzo vya maji, ulinzi wa bayoanuai na hata kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Shirika la chakula na kilimo duniani,

Sauti -
3'53"

Elimu ni muhimu katika kuhakikisha misitu endelevu -FAO

Ikiwa leo Machi 21 ni siku ya misitu duniani Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo duniani,

Sauti -
2'14"

Elimu ni muhimu katika kuhakikisha misitu endelevu -FAO

Ikiwa leo Machi 21 ni siku ya misitu duniani Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo duniani, FAO limesisitiza umuhimu wa kuchagiza elimu kuhusu kupenda misitu.