misitu

Kampuni ya Kijerumani yatuzwa Uganda kwa uhifadhi wa mazingira

Umoja wa Mataifa unahimiza uhifadhi na ulinzi wa mazingira kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ikiwa ni lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Sauti -
3'42"

Umaskini watishia hali ya misitu ukanda wa Mediteranea- Ripoti

Ripoti mpya ya mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa na wadau wake kuhusu hali ya misitu kwenye ukanda wa Mediteranea inaonyesha kuwa maliasili hiyo iko kwenye tishio kubwa licha  ya umuhimu wake kwa viumbe ya nchi kavu na baharini.

Ingawa inakabiliwa na changamoto , Tanzania inajitahidi kulinda misitu

Misitu ni uhai na kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP ili misitu hiyo inufaishe jamii, basi kila mtu anajukumu la kuhakikisha inalind

Sauti -
3'20"

Tanzania na mpango shiriki wa uhifadhi wa misitu

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya misitu duniani imezitaka serikali kuchukua hatua jumuishi katika ulinzi na uhifadhi wa misitu ili kupunguza kasi ya kupungua kwa eneo la misitu kila uchao. 

Sauti -
1'47"

Hatua shirikishi ni muarobaini wa kulinda misitu- FAO

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya misitu duniani imezitaka serikali kuchukua hatua jumuishi katika ulinzi na uhifadhi wa misitu ili kupunguza kasi ya kupungua kwa eneo la misitu kila uchao.

Ushirikishwaji jumuishi katika hifadhi ya misitu una tija kwa wanavijiji

Warsha ya siku 5 kuhusu elimu ya ulinzi  na uhifadhi wa mazingira inaendelea katika hifadhi ya misitu ya asili iliyoko amani  Mkoani Tanga, nchini Tanzania.

Je Tanzania ya kijani inawezekana? Dk Mwakaluka

Umoja wa Mataifa na wadau mbalimbali wamekuwa mstari wa mbele katika uhifadhi wa mazingira ili kubabiliana na tatizo la  tabianchi.

Sauti -
3'59"

Mbadala wa kuni na mkaa utamrahisishia kazi mwanamke na kulinda misitu:Buhero

Matumizi ya nishati haribifu kwa misitu na mazingira kama kuni na mkaa kwa kiasi kikubwa yakimuhusisha mwanamke yanahitaji nishati mbadala na hususani kwa nchi zinazoendelea ambako asilimia kubwa ya watu wanaishi vijijini na hawana fursa ya kupata nishati nyingine kwa matumizi ya kawaida.

Sauti -
4'16"

Twakata misitu twajiumiza wenyewe- Samia

Nchini Tanzania nako maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yamefanyika kitaifa jijini Dar es salaam ambako Umoja wa Mataifa, serikali na wadau wameazimia kuendelea kushirikiana ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Je wanavijiji watamudu nishati mbadala ili kulinda misitu Tanzania?

Katika jitihada za pamoja za Umoja wa Mataifa  na serikali duniani kuhakikisha misitu inalindwa ili kudhibiti mabadiliko ya tabianchi, Tanzania imejiwekea mkakati kabambe wa  miaka 5 kwenda sanjari na lengo hilo.