Miriam Njeri

Hakuna kazi ya mwanaume wala mwanamke ni kujitosa tu:Njeri

Miriam Njeri mshona viatu mashuhuri hivi sasa nchini Kenya, anasema hakutarajia kuwa siku moja angekuja kuwa mshona viatu mkubwa na hata kumiliki kampuni, kazi ambayo kwa kawaida au kwa asililimia kubwa inaminiwa kuwa ya wanaume.

Sauti -
3'31"

19 NOVEMBA 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
10'59"