Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na UKIMWI, UNAIDS iliyozinduliwa leo mjini Geneva Uswisi inaonesha pamoja na kupungua kwa maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI, VVU, duniani kote, bado maambukizi miongoni mwa wanaotumia sindano kujidunga madawa ya kulevya hayapungui.