Michel Kafando

Hali ya kisiasa Burundi yatia matumaini- Kafando

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Burundi, Michel Kafando amesema hali ya kisiasa nchini humo imeanza kutia matumaini wakati huu ambapo taifa hilo linajiandaa kufanya uchaguzi mkuu hapo mwakani.

Ziara ya Michel Kafando Burundi yakamilika

Mjumbe  Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  nchini Burundi   Michel Kafando amehitimisha ziara yake ya wiki nzima nchini humo iliyomkutanisha na  wawakilishi  wa serikali, vyama vya siasa na mashirika ya kiraia ambapo amewachagiza washiriki kwenye  awamu mpya ya mazungumzo ambayo yanatara

Sauti -
1'45"

Nkurunzinza atangaza kutogombea tena mwaka 2020

Umoja wa Mataifa umekaribisha tangazo lililotolewa hii leo na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi ya kwamba kipindi chake cha kuongoza nchi hiyo kitamalizika mwaka 2020 na kwamba atamuunga mkono mrithi wake.

Sauti -
2'1"

Heko Nkurunzinza kwa kutangaza kung’atuka 2020-UN

 Umoja wa Mataifa umekaribisha tangazo lililotolewa hii leo na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi ya kwamba kipindi chake cha kuongoza nchi hiyo kitamalizika mwaka 2020 na kwamba atamuunga mkono mrithi wake.

Shughuli za kisiasa Burundi zimebinywa- Kafando

Nchini Burundi,  sintofahamu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii iliyoanza baada ya Rais Pierre Nkurunzinza kuongeza muda wa uongozi na kuingia awamu ya tatu bado inaendelea na sasa yaelezwa kuwa shughuli za vyama vya kisiasa zinaendeshwa na watu wachache.