Micheal Keating

Keating asema Somalia imebadilika

Kitendo cha vyombo vya habari kutoangazia mafanikio ni mojawapo ya sababu za watu hususan nje ya Somalia kutofahamu maendeleo yaliyopatikana nchini humo siku za karibuni na fursa zilizopo

Sauti -
1'47"