Neno la wiki: Mhanga, Manusura na Muathirika
Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno "Mhanga", “Manusura” na "Muathirika". Mchambuzi wetu ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.
Ungana naye upate matumizi sahihi ya maneno hayo..