mgao wa chakula

Dunia ikikabiliana na COVID-19 ukata watishia mgao wa chakula kwa wakimbizi Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) limekata msaada wake wa chakula na pesa kwa wakimbizi zaidi za milioni 1.2 nchini Uganda kutokana na ukata wa ufadhili wakati huu ambapo dunia imezongwa na changamoto ya kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona,

Sauti -
2'6"

Ukata kwenye WFP walazimisha kupunguza mgao Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) limekata msaada wake wa chakula na pesa kwa wakimbizi zaidi za milioni 1.2 nchini Uganda kutokana na ukata wa ufadhili wakati huu ambapo dunia imezongwa na changamoto ya kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona,

Sauti -
2'6"

WFP yapunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi, Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani (WFP) limekata msaada wake wa chakula na pesa kwa wakimbizi zaidi za milioni 1.2 nchini Uganda kutokana na ukata wa ufadhili wakati huu ambapo dunia imesongwa na changamoto ya kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19

UNHCR yasema mgao wa chakula wasababisha vifo Niger

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeelezea masikitiko  yake kufuatia taarifa za vifo vya watu wapatao 20 vili

Sauti -
1'55"

Mgao wa chakula wasababisha vifo Niger, UNHCR yatoa tamko

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeelezea masikitiko  yake kufuatia taarifa za vifo vya watu wapatao 20 vilivyotokea wakati wa kugombania chakula huko eneo la Diffa nchini Niger.

Ghasia Haiti zimeathiri kazi zetu:WFP

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP limesema katika wiki tatu zilizopita hali ya usalama nchi Haitri imeathiri kwa kiasi kikubwa kazi za shirika hilo na mahisrika mengine ya kibinadamu kuweza kuwafikia  maelfu ya watu wanaohitaji msaada.

WFP yasitisha mgao wa chakula kwa Wasyria 47,500, kisa usalama

Shirika la Umoja wa Mastaifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limesema limesitisha kwa muda ugawaji wa chakula kwa watu 47,500 nchini Syria kutokana na changamoto za usalama.

WFP yasitisha shughuli za kusambaza mlo huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko w amagonjwa Afrika Mashariki

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limesitisha kwa muda usambazaji katika nchi 25 wa nafaka iliyorutubishwa au Super Cereal wakati huu ambapo uchunguzi unaendelea kubaini iwapo chakula hicho kina uhusiano na mlipuko wa magonjwa Afrika Mashariki.

Sauti -
1'34"