Menawash

Sasa maandazi, kalmati, karanga za maziwa vyapigwa Menawash, shukrani TANZBATT_13

Tukiwa tunaendelea kumulika ripoti mbalimbali kuhusu wanawake kuelekea siku ya wanawake duniani wiki ijayo, tunarejea tena huko Darfur nchini Sudan kwa mlinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania Sajini-Taji Felista Temba ambaye pamoja na kuwa ni mtaalamu wa afya kitaalamu ametumia pia fursa

Sauti -
2'14"

04 Machi 2021

Leo Alhamisi ya Machi 04 mwenyeji wako ni Flora Nducha na miongoni mwa aliyokuandalia hii leo ni mapendekezo kutoka Umoja wa Mataifa ya kwamba wanawake maskini katika nchi zinazoendelea wapatiwe

Sauti -

Walinda amani wanawake TANZBATT_13 watia nuru Darfur 

Kuelekea siku ya wanawake duniani tarehe 8 mwezi huu wa Machi, leo tunakwenda huko Menawash, jimboni Darfur nchini Sudan ambako kumuangazia mlinda amani mwanamke kutoka Tanzania anayehudumu kwenye kikosi cha 13 cha Tanzania, TANZBATT_13 katika ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID anaelezea kile alichofanya kuinua wanawake na wasichana nchini humo.