mediteranea

Umaskini watishia hali ya misitu ukanda wa Mediteranea- Ripoti

Ripoti mpya ya mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa na wadau wake kuhusu hali ya misitu kwenye ukanda wa Mediteranea inaonyesha kuwa maliasili hiyo iko kwenye tishio kubwa licha  ya umuhimu wake kwa viumbe ya nchi kavu na baharini.

Wimbo, ‘usichezee maisha yako’ watahadharisha vijana wanaofanya safari hatarishi

Kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine au hata nchi moja hadi nyingine ni haki ya kila mtu ali mradi anatimiza masharti ya nchi anakoelekea.

Sauti -
4'39"

UNHCR yataka kuimarishwa kwa utafutaji na uokoaji bahari ya Mediterenea

Watafuta hifadhi  45,700  na wahamiaji wamefikia pwani ya Ulaya baada ya kuvuka bahari ya Mediteranea katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2018.

Watu 100 wafa maji Mediteranea

Bahari ya Mediteranea yazidi 'kumeza' watu, manusura wasimulia walivyopata kiwewe.

11 Juni 2018

Jaridani hii leo Juni 11, 2018 Patrick Newman anaangazia:

Sauti -
10'15"

Wasaka hifadhi 90 wafa maji pwani ya Libya

Taarifa zilizotolewa leo na  Shirika la Umoja wa mataifa la uhamiaji IOM z inasema, wahamiaji 90 wameripotiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika bahari mediteranea pwani ya Libya. Patrick Newman na maelezo kamili .

Chonde chonde wapeni hifadhi ya kudumu wakimbizi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limetoa wito mwingine kwa nchi zilizoendelea  kutoa hifadhi ya kudumu kwa waki

Sauti -

Chonde chonde wapeni hifadhi ya kudumu wakimbizi

Wahamiaji wengine 100 wahofiwa kufa maji Mediteranea

Mwaka wa 2018 umeanza vibaya kwa wasaka hifadhi ambapo yaelezwa wahamiaji wapatao 100 wahofiwa kuzama maji kwenye bahari ya Mediteranea. Selina Jerobon na ripoti kamili.

(Taarifa ya Selina Jerobon)

Sauti -

Wahamiaji wengine 100 wahofiwa kufa maji Mediteranea