Mazingira

Taka za kielektroniki bado tatizo- Ripoti

Taka za kielektroniki bado tatizo- Ripoti

Uchafuzi wa mazingira utokanao na utupaji hovyo wa taka za kielektroniki na umeme umesababisha Umoja wa Mataifa kuweka msisitizo wa udhibiti wa utupaji wa taka hizo.

Sauti -

Saidieni kupambana na uharibifu wa mazingira: Guterres

Saidieni kupambana na uharibifu wa mazingira: Guterres

Tuna haki ya kuishi sehemu salama, tunategemea kula chakula bora, maji safi na kuvuta hewa safi lakini bado tunaendelea kuharibu mazingira.

Sauti -

Burundi yachukua hatua kudhibiti uchafuzi wa mazingira ziwa Tanganyika

Burundi yachukua hatua kudhibiti uchafuzi wa mazingira ziwa Tanganyika

Vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira ni mojawapo ya agenda muhimu za Umoja wa Mataifa katika ajenda yake ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030.  Halikadhalika mkataba wa Paris wa mwaka 2015 unahimiza serikali zote duniani kuchukua hatua thabiti katika utekelezaji wa uhifadhi wa  tabianchi kwa ajili

Sauti -