Mazingira

Jarida 23 Septemba 2021

Ni Alhamisi  ya tarehe 23  ya mwezi Septemba mwaka 2021 siku ya tatu ya mjadala mkuu wa mikutano ya ngazi ya juu ya Umoja wa Mataifa

Sauti -
9'56"

Siku ya amani duniani, shule ya sekondari Viwandani, Dodoma Tanzania wapanda miti 

Nchini Tanzania katika kuadhimisha siku ya amani duniani, wadau mbalimbali kwa kushirikiana na ofisi ya Umoja Umoja wa Mataifa nchini humo, wameiadhimisha siku hii kwa kupanda miti katika shule ya sekondari Viwandani iliyoko mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi ambayo yanachangia kuondoa amani katika baadhi ya maeneo duniani.

Kilimo hai sio tu kinalinda mazingira bali pia afya za binadamu:Kitojo

Kilimo hai kina mchango mkubwa katika kutimiza ajenda ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa SDG’’s hasa katika kulinda mazingira , kuhakikisha uhakika wa chakula na pia kutimiza moja ya vipengele vya lengo la afya bora. Kwa mujibu wa 

Sauti -
3'14"

Ninaona nilichelewa kutambua umuhimu wa mazingira, sitaki itokee hivyo kwa wengine- Anita Soina

Anita Soina wa nchini Kenya, msichana mwenye umri wa miaka 20 anasema anajiona ni kama alichelewa sana kujiunga katika harakati za kuyatetea mazingira ya ulimwengu.

Sauti -
3'34"