Mazingira

25 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Patrick Newman anakuletea

-Hatua zisipochukuliwa haraka waathirika wa kimbunga IDAI hatarini kupata milipuko ya magonjwa yaonya mashirika ya kimataifa

Sauti -
12'8"

Uharibifu wa mazingira unahatarisha afya za binadamu-UNEP

Uharibifu wa sayari dunia ni mkubwa sana na afya za wakazi wa dunia hiyo zipo hatarini iwapo hatua hazitachukuliwa hivi sasa, imesema ripoti ya hali ya mazingira iliyotolewa hii leo na shrika la Umoja wa Mataifa la mazingira, UNEP.

Ubunifu pekee ndio utakaotufikisha katika mtakabali tunaoutaka:UNEA

Kwa kutumia ubunifu pekee ndio daraja la kizazi hiki kuweza kuipeleka dunia karibu na mtazamo ulioainishwa kwenye  mustakabali tunaoutaka kwa ajili ya wote ifikapo mwaka 2030.