Mazingira

Nuru yaonekana katika juhudi za kulinda maeneo oevu, Uganda

Ulinzi wa mazingira umekuwa ukipigiwa upatu na Umoja wa Mataifa kama moja wa juhudi za kuona dunia yetu haihatarishwi na majanga yatokanayo  na uharibifu wa mazingira.

Sauti -
3'47"

Plastiki toka jalalani hadi ala za muziki

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa mazingira UNEP linasema kila mbinu ni lazima itumike ili kupambana na plastiki ambazo athari zake ni kubwa sio tu kwa mazingir

Sauti -
2'

Jimbo la Anbar lasaka mbinu za matumizi bora ya vifusi vya majengo yaliyobomolewa

Nchini Iraq kwenye jimbo la Anbar, kumefanyika warsha yenye lengo la kuangalia jinsi ya kuanzisha vituo vya kurejeleza taka za vifusi vilivyolundikana kwenye eneo hilo baada ya mapigano yaliyowezesha kufurushwa kwa magaidi wa ISIL.

Mizozo inapopamba moto, mazingira nayo huwa hatarini- UNEP

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuzuia uharibifu wa mazingira kwenye maeneo ya mizozo na vita, Umoja wa Mataifa umeweka bayana sababu za kulinda mazingira ikitolea mfano maeneo sita ambako bayonuai imeharibiwa kutokana na vita.