Mazingira

Kuhifadhi na kupanua wigo wa misitu ni mtihani tunaotakiwa kushinda:FAO

Idadi ya watu ikiendelea kuongezeka duniani na kutarajiwa kufikia bilioni 9 mwaka 2050, kuhifadhi na kupanua wigo wa mistu kwa ajili ya kuwezesha kuwalisha watu hawa imekuwa mtihani ambao dunia inapaswa kuushinda kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa . 

Wachuuzi wa samaki Burundi na mafunzo ya kuepusha uchafuzi wa mazingira

Ziwa  Tanganyika kwenye ukanda wa Maziwa Makuu barani Afrika, limekuwa mashuhuri sio kwa kusafirisha watu na bidhaa bali pia katika kuzalisha  samaki  aina mbalimbali  Lakini changamoto kubwa ni uhifadhi za samaki  baada ya kuvuliwa hadi kuliwa ili kuepusha uchafuzi wa mazingira.

Sauti -
4'17"