mawasiliano

Ushairi una dhima kubwa katika ustawi wa binadamu

Ushairi licha ya kuwa moja ya fasihi zinazoburudisha, huendana pia na baadhi ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs ya Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa malengo hayo ni lile la 16 linalogusia amani, haki, ujumuishi na utangamano baina ya jamii za makabila na imani tofauti. Mtunzi huzingatia kile kin

Sauti -
3'44"

UN yazipongeza Korea Kaskazini na Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha hatua ya Korea Kaskazini na Korea Kusini kufungua tena mawasiliano ya niia ya simu kati yao.

Sauti -

UN yazipongeza Korea Kaskazini na Kusini