mauaji ya kimbari

07 Aprili 2021

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameueleza ulimwengu uzingatie tulichoj

Sauti -
11'47"

Kuzuia mauaji ya kimbari ni jukumu la jamii nzima :UN 

Kuanzia majukwaa ya mitandao ya kijamii, makampuni ya teknolojia, viongozi wa kidini , viongozi wa asasi za kiraia na hata jamii nzima wote wana jukumu kubwa katika kupambana na kauli za chuki ambazo ni ishara ya wazi ya mauaji ya kimbari, amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. 

Alice Wairimu Nderitu wa Kenya kuwa mshauri maalum UN kuhusu kuzuia mauaji ya kimbari 

Katibu Mkuu wa Umoja wa MataifaAntónio Guterres leo ametangaza kumteua Alice Wairimu Nderitu kutoka Kenya kuwa mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuzuia mauaji ya kimbari. 

Ni miaka 25 ya kumbukumbu na kupata haki Srebrenica:Bachelet

Leo ni miaka 25 tangu kufanyika mauaji ya kibari yaliyighubikwa na ukatili mkubwa zaidi duniani huko Srebrenica Bosnia na Herzegovina.

Mauaji ya Srebrenica yalikuwa mabaya zaidi Ulaya tangu Vita Kuu ya Pili ya dunia:Guterres

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 25 ya mauaji ya kimbari yaliyofanyika huko Srebrenica,Bosnia na Herzegovina, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema huo ulikuwa ukatili mbaya zaidi kufanyika katika ardhi ya Ulaya tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Tangu mauaji ya kimbari, Rwanda imeonesha kuwa inawezekana kunyanyuka kutoka katika majivu-Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa ulimwengu mzima kujifunza kwa nchi ya Rwanda na watu wake kwa namna walivyomudu kuponya majeraha ya athari mbaya za mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi.

UN yakaribisha hukumu ya viongozi wa zamani wa Khmer Rouge

Hukumu ya kihistoria iliyopitishwa Ijumaa na mahakama ya kimataifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa dhidi ya viongozi wawili wa zamani wa Khmer Rouge nchini Cambodia kwa makosa ya mauji ya kimbari imekaribishwa na mshauri maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya kimbari.

Ukiwaji wa haki na mauaji Myanmar si vya kufumbia macho

Kinacxhoendelea hivi sasa nchini Myanmar dhidi ya watu wa kabila la Rohinya ni mauaji ya kimbari na ukiukwaji mwingine mkubwa wa haki za binadamu, ameonya leo Marzuki Darusman ambaye ni mwenyekiti wa tume iliyoundwa na Baraza Kuu la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuchunguza ukiukwaji wa hak

Sauti -
3'29"

Ukiukwaji na mauaji ya kimbari dhidi ya Rohingya vinaendelea Myanmar:Darusman

Mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Mataifa ya kutafuta ukweli wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Myanmar, Marzuki Darusman amesisitiza kuwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na mauaji ya kimbari vinaendelea dhidi ya jamii ya watu wa kabila la Rohinya.

Tuboreshe mbinu za kubaini mauaji ya kimbari - Bachelet

Mauaji ya kimbari bado ni tishio kwa karne hii ya 21 na hivyo ni lazima tuchukue kila  hatua kuyaepusha.