Matukio ya mwaka

Zilizovuma mwaka 2018

Mwaka 2018 ulighubikwa na changamoto nyingi hususan kwa nchi za Afrika, mizozo ikiendelea kukumba bara hilo sambamba na magonjwa. Hata hivyo kulikuwa na habari chanya, na kwa muhtasari tutaangazia pande zote za sarafu wakati huu ambapo tunafunga mwaka huu wa 2018.
 

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

Mjumbe maluum wa maswala ya ukatili wa kijinsia (GBV) wa  shirika la Umoja wa Mataifa la idadi wa watu ulimwenguni UNFPA, yupo ziarani katika visiwa vya  Antigua na barbuda kutoa mafunzo kwa watoa huduma na waathirika wa vimbunga wanaokabiliwa na ukatili wa kinjinsia kwenye makambi ya mpito.

Sauti -

UNFPA yatoa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia kwa wathirika wa vimbunga

UNEP: Kila mtu anawajibika kufanya kila awezalo kukabili madhara ya mabadiliko ya tabianchi

Zaidi ya watu milioni 7 kote duniani wanakufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya hewa chafuzi. Hayo ni kwa mujibu wa mkurugenzi mtendaji wa shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP Erik Solheim akizungumza na waandishi wa habari mjini  Davos, Uswis  kwenye kongamano la kimataifa la uchumi.

Sauti -

UNEP: Kila mtu anawajibika kufanya kila awezalo kukabili madhara ya mabadiliko ya tabianchi

Ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wabunge unaongezeka: IPU

Ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wabunge unaongezeka: IPU

Kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya wabunge walioteswa na pia ukiukaji wa haki zao za msingi katika mwaka wa 2016 , ambapo kote duniani kuna hatari ya wabunge wanakabiliwa na kunyimwa haki zao za uhuru wa kujieleza, hii ni kwa mujibu wa takwimu za muungano wa mabunge duniani IPU

Sauti -

Usafiri endelevu ni njia mojawapo ya kufanikisha ajenda 2030

Katibu mkuu wa Umoja Ban Ki-moon amesema ni wazi suala la umuhimu wa usafiri endelevu halina mjadala.

Sauti -

Usafiri endelevu ni njia mojawapo ya kufanikisha ajenda 2030

Castro aaga dunia, Ban atuma rambirambi