masomo

COVID-19: Takribani mtoto 1 kati ya 3 ya watoto wa shule duniani kote, hakuweza kupata masomo nje ya mazingira ya shule-Ripoti 

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF iliyotolewa hii leo mjini New York Marekani imeeleza kuwa takribani theluthi

Sauti -
2'14"

Kigori 1 kati ya 3 kutoka familia maskini hawajawahi kwenda shule: UNICEF

Karibu msichana mmoja kigori kati ya watatu kutoka familia maskini kote duniani, hawajawai kwenda shule kwa mujibu ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF iliyozinduliwa leo wakati ambapo mawaziri wa elimu wanakusanyika kwenye mkutano wa dunia wa elimu kabla ya viongozi nao kukusanyika kwa mkutano wa kila mwaka kuhusu uchumi.