Mkimbizi wa Syria akonga nyoyo ujerumani kwa mapishi yake
Nchini Ujerumani, mwanamke mmoja mkimbizi kutoka Syria ametumia stadi zake za mapishi ya vyakula vya kwao na kujikuta anafungua mgahawa unaotoa huduma kwa watu mashuhuru akiwemo Kansela wa nchi hiyo ya Ulaya Angela Merkel.