Buriani Sir Brian Urquhart umeacha mchango mkubwa UN na duniani:Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelrezea huzuni yake kufuatia kifo cha afisa wa zamani wa ngazi ya juu kwenye umoja wa Mataifa Brian Urquhart aliyeutumikia Umoja wa Mataifa kwa miaka zaidi ya 40.