mamluki

Askari wa kukodiwa ni tishio barani Afrika, tuchukue hatua- Guterres

Hoja ya askari mamluki na harakati zao barani Afrika imejadiliwa leo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wajumbe wakiangazia ni kwa jinsi gani askari hao wanatishia siyo tu amani na usalama duniani bali pia uhuru na mamlaka ya mataifa barani humo.

Tusisubiri kukabili ugaidi badala yake tuuzuie- Guterres

Masuala la wapiganaji mamluki, ushawishi wa vijana kutumbukia kwenye vitendo vya kigaidi na kitendo cha vijana hao kuona wameenguliwa kwenye masuala yanayowahusu yameangaziwa katika mkutano wa ngazi ya juu kuhusu kukabiliana na uagidi ulioanza leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New

Sauti -
3'20"

Kampuni binafsi za ulinzi zatishia utulivu wa Ghana

Ghana kuweni macho na kampuni binafsi za ulinzi ambazo siyo tu idadi yao imeongezeka kama uyoga bali pia zinaweka upenyo wa askari mamluki.

Sauti -

Kampuni binafsi za ulinzi zatishia utulivu wa Ghana

Wapiganaji mamluki wanaelekea Libya na Yemen- Voronkov

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na kikao kujadili wapiganaji mamluki wanaojiunga na vikundi vya kigaidi, jambo ambalo linatishia amani na usalama duniani.

Sauti -

Wapiganaji mamluki wanaelekea Libya na Yemen- Voronkov