Makala za wiki

Hatimaye nuru yaangukia wapemba waliohamia Kenya

Mtembea bure si sawa na mkaa bure- Millard Ayo

Vijana ni nguvu kazi inayotegemewa katika kuboresha mustakabali wa dunia.

Sauti -

Mtembea bure si sawa na mkaa bure- Millard Ayo

Kusaidia wanawake kuko damuni mwangu: wakili Kamunya

Wasaka hifadhi na wakimbizi vijana waona nuru huko Ujerumani

Stahamala na utangamano ni mambo ambayo Umoja wa Mataifa kupitia mashirika yake ikiwemo lile la wakimbizi duniani, UNHCR unapigia chepu

Sauti -

Wasaka hifadhi na wakimbizi vijana waona nuru huko Ujerumani

Shule ya Michungwani, Handeni Tanga yapata jibu la utoro kwa wanafunzi

Lengo namba 4 la malengo endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs, linapigia chepuo elimu bora. Hii inamaanisha pamoja na mambo mengine watoto siyo tu waandikishwe shule bali pia wamalize masomo yao hadi mwisho bila kukosa.

Sauti -

Shule ya Michungwani, Handeni Tanga yapata jibu la utoro kwa wanafunzi

Marufuku ya "viroba" Tanzania yaleta nuru kwa vijana

Katika ajenda ya Umoja  wa Mataifa ya  malengo ya  maendeleo endelevu SDGs au ajenda  2030, vijana kama nguvu kazi na mustakabali wa dunia wanapewa jukumu la kijiendeleza ili kujikwamua na suala la umasikini siku za usoni.

Sauti -