Makala za wiki

Mshikamano wakati wa dhiki ndio faraja yangu: Midori

Kituo cha kupima TB Kibong’oto kuleta nuru kwa wachimbaji madini

Vumbi vumbi wanalokumbana nalo wachimba madini wadogo limeendelea kuwa mwiba katika afya zao.

Sauti -

Kituo cha kupima TB Kibong’oto kuleta nuru kwa wachimbaji madini

Ukimpa mwanamke fursa, jamii itanufaika

Kuna usemi wa kwamba ukimuelimisha mwanamke umeielimisha jamii na ukielimisha  jamii basi utakua umeokoa  kizazi cha baadaye. Huu usemi  hauna maana ya upendeleo bali  ni ukweli kwamba ukimpa mwanamke fursa basi  jamii itanufaika zaidi.

Sauti -

Ukimpa mwanamke fursa, jamii itanufaika

Utunzaji misitu ni jawabu la mabadiliko ya tabianchi

Mkataba wa Paris kuhusu  mabadiliko ya tabianchi unaziasa serikali, mashirika ya kimataifa na asasi za kiraia duniani kote kuongeza jitihada  katika zoezi la kulinda mazingira.

Sauti -

Utunzaji misitu ni jawabu la mabadiliko ya tabianchi

Amani na haki ndio msingi wa kundi letu:Dance for Peace

Amani , haki sawa kwa wote na taasisi imara ndio kauli mbiu ya kundi la Dance for Peace au cheza kwa ajili ya amani linalojihusisha na muziki wa oprea na unenguaji.

Sauti -

Amani na haki ndio msingi wa kundi letu:Dance for Peace

Hatimaye nuru yaangukia wapemba waliohamia Kenya

Ukosefu wa taifa ni tatizo linalokumba mamilioni ya watu duniani. Wengi wao wakikosa utaifa kwa misingi ya dini, kabila au eneo walikotoka.

Sauti -