Sajili
Kabrasha la Sauti
Hebu fikiria, Kusherehekea krisimasi katikati ya machafuko! Hali hii iliwakumba wakimbizi wa Sudan Kusini taifa ambalo kwa takribani miaka mitatu sasa limeshuhudia mapigano na hivyo kuhatarisha usalama wa raia na mali zao.
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, zaidi ya watu 400,000 wamelazimika kuhama makwao tangu kuanza kwa mzozo nchini humo miaka miwili iliyopita.
Mapema mwezi huu dunia imeadhimisha siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu.
Maisha ukimbizini hujawa na taabu na mateso mengi. Hofu hutawala, kukosa makazi huambatana na kadhia hizi.