Makala za wiki

Wanawake Burundi wajikwamua kiuchumi

Wanawake Burundi wajikwamua kiuchumi

Nchini Burundi mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga anatufahamisha kuwa licha ya wanawake wa nchi hiyo kupitia historia ya migogoro kutokana na baadhi yao kuwa wakimbizi ikiwa ni matokeo ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, hilo halijawazuia kujishughulisha kikamlifu na shughuli mbalimbali

Sauti -

Wadudu watumika katika harakati za ulinzi wa mazingira, ziwa victoria

Wadudu watumika katika harakati za ulinzi wa mazingira, ziwa victoria

Wakati tukielekea ukomo wa malengo ya milenia mwakani lengo namba saba ambalo ni utunzaji wa mazingira limefikiwa kwa kiasi na nchi mabli mbali. Moja ya sehemu ya muhimu ya uhifadhi katika mazingira ni uhifadhi wa maji.

Sauti -

Haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino

Haki ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino

Tamko Umoja wa Mataifa  la haki za binadamu ni nguzo muhimu katika kulinda, na kutetea haki za makundi yote katika jamii kwa kuzingatia heshima na utu wa binadamu yeyote popote alipo.Tamko hilo la mwaka 1948 limetiliwa saini na nchi mbalimabli duniani wakiahidi kulinda haki za watu wao katika Nya

Sauti -

Bodaboda, muziki vyatumika kusambaza elimu ya Ebola

Bodaboda, muziki vyatumika kusambaza elimu ya Ebola

Huko Afrika Magharibi, mbinu mbalimbali zinatumiwa katika kuhakikisha elimu ya mapambano dhidi ya Ebola inawafikia walengwa. Miongoni mwa mbinu hizo yakinifu ni kwa kupitia wanamuziki ambao wanafikisha ujumbe kirahisi kwa jamii kupitia tasnia ya burudani.

Sauti -

Mama, mtoto waunganishwa tena Sudan Kusini baada ya kupoteana wakiokoa maisha yao