Makala za wiki

Vijana barani Afrika wanasema wakati umefika wa kusikilizwa

Kila mwaka Novemba mosi vijana kote barani Afrika wanaadhimisha siku yao kwa hafla na shughuli mbalimbali ikiwemo mijadala na maandamano.

Sauti -

Vijana barani Afrika wanasema wakati umefika wa kusikilizwa

Vita dhidi ya malaria bado ni changamoto kubwa Tanzania

Lengo namba sita la maendeleo ya milenia ni kupambana na maradhi ya ukimwi, kifua kikuu na malaria. Umoja wa Mataifa uliweka malengo 8 ya maendeleo ya milenia mwaka 2000 na yanapaswa kutimizwa ifikapo 2015.

Sauti -

Vita dhidi ya malaria bado ni changamoto kubwa Tanzania

Tanzania italikubali baraza la mpito Libya pale tuu litakapounda serikali

Serikali ya Tanzania leo imesema haitolitambua baraza la mpito la Libya hadi pale litakapounda serikali mpya. Tanzania imechukua msimamo huo pamoja na mataifa mengi ya Afrika baada ya kukubaliana kwa pamoja kwenye muungano wa Afrika yaani AU.

Sauti -

Tanzania italikubali baraza la mpito Libya pale tuu litakapounda serikali

Juhudi za kupambana na upofu nchini Kenya

Utafiti zaidi utahitajika kukabilia NCD's Afrika

Maradhi ya kisukari, moyo, saratani na matatizo ya kupumua kwa miaka mingi yamekuwa yakizikumba zaidi nchi zilizoendelea na ndio maana hata kuna baadhi ya nchi waliyachukulia kama ni magonjwa ya matajiri, lakini mtazamo umebadilika.

Sauti -

Utafiti zaidi utahitajika kukabilia NCD's Afrika