Makala za wiki

Maradhi yasiyo ya kuambukiza ni changamoto Tanzania:Mponda

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yaani NCD's kama saratani, kisukari, maradhi ya moyo na matatizo ya kupumua sasa yamekuwa changamoto kubwa kwa mataifa yanayoendelea.

Sauti -

Maradhi yasiyo ya kuambukiza ni changamoto Tanzania:Mponda

Kuzingatia muda na mpangilio yamenifurahisha UM:Chuwa

Leo Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa imepata fursa ya kuzungumza na mwandishi wa habari wa Radio One na kituo cha televisheni cha ITV kilichopo nchini Tanzania aliyefika New York kwa mara ya kwanza kuripoti kuhusu mjadala wa baraza kuu ulioanza Septemba 19 mwaka huu.

Sauti -

Kuzingatia muda na mpangilio yamenifurahisha UM:Chuwa

Mada mbalimbali likiwemo suala la Wapalestina zapewa uzito kwenye Baraza Kuu

Kikao cha Baraza Kuu cha 66 kimeanza wiki hii kwenye Umoja wa Mataifa hapa New York.

Sauti -

Mada mbalimbali likiwemo suala la Wapalestina zapewa uzito kwenye Baraza Kuu

Somalia imeenza kupiga hatua kuelekea amani ya kudumu:Mahiga

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga amesema wahenga hawakukosea kunena atafutaye hachoki akichoka keshapata, akiuelekeza msemo huo kwa juhudi za kusaka amani ya kudumu nchini Somalia suala ambalo limekuwa likiendelea tangu kuangushwa kwa utawala wa Siad B

Sauti -

Somalia imeenza kupiga hatua kuelekea amani ya kudumu:Mahiga

Mkuu wa UNHCR atembelea pembe ya Afrika wakati wa Eid

Mkuu wa shirika la kuwahudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR António Guterres amesema kuwa wafanyikazi wa kutoa misaada nchini
Sauti -

Mkuu wa UNHCR atembelea pembe ya Afrika wakati wa Eid