Makala za wiki

Jitihada za AMISOM kulinda amani nchini Somalia

Makala yetu wiki hii inaangazia jitihada za kikosi cha kulinda amani cha muungano wa Afrika nchini Somali cha AMISOM katika kuweka usalama na kukabiliana na makundi yaliyo na nia ya kuiangusha serikali ya mpito ya Somalia na pia katika kuhakikisha kuwa misaada imewafikia mamilioni ya watu ambao

Sauti -

Jitihada za AMISOM kulinda amani nchini Somalia

Uhaba mkubwa wa chakula waendelea kushuhudiwa kwenye Pembe ya Afrika

Makala yetu ya wiki hii inaangazia hali kwenye pembe ya Afrika eneo ambalo limekumbwa na ukame wa muda mrefu na kusababisha uhaba mkubwa wa chakula.

Sauti -

Uhaba mkubwa wa chakula waendelea kushuhudiwa kwenye Pembe ya Afrika

Mafunzo ya wanafunzi walio na nia ya kuchukua uongozi wa UM wa mfano

Vijana 19 wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka nchi 17 wanachama wa Umoja wa Mataifa walikutana hapa New York kwenye makao makuu ya UM kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kuchukua jukumu la uongozi wa Umoja wa Mataifa wa Mfano yaani UN Model.

Sauti -

Mafunzo ya wanafunzi walio na nia ya kuchukua uongozi wa UM wa mfano

Afrika yapata taifa jipya la Sudan Kusini

Jumamosi hii Julai 9 mwaka 2011 ni siku itakayoingia katika vitabu vya historia kote duniani baada ya machafuko ya takriban miongo miwili hatimaye moja ya nchi kubwa kabisa barani Afrika Sudan inagawanywa rasmi mapande mawili Kaskazini inayosalia kuwa Sudan na taifa jipya linalozaliwa Sudan Kusin

Sauti -

Afrika yapata taifa jipya la Sudan Kusini

UM kuendelea kulisaidia bara la Afrika kuwawezesha vijana:Migiro

Umoja wa Mataifa umesema utaendelea kulisaidia bara la Afrika kutimiza malengo ya kulijenga vyema taifa la kesho ambalo ni vijana.

Sauti -

UM kuendelea kulisaidia bara la Afrika kuwawezesha vijana:Migiro