Makala za wiki

Wanaume Zanzibar waongeze washiriki katika vita dhidi ya ukimwi:Duni

Vita dhidi ya ukimwi na hususani maambukizi mapya ni suala linalopigiwa upatu sana na Umoja wa Mataifa na mashirikia yake likiwemo la kupambana na ukimwi UNAIDS, la afya

Sauti -

Wanaume Zanzibar waongeze washiriki katika vita dhidi ya ukimwi:Duni

Baada ya kisa mkasa wajane wakabiliwa na adha chungu nzima

Kina mama wajane kote duniani wanakabiliwa na matatizo mengi, kuanzia ngazi ya familia, jamii , kitaifa na hata kimataifa. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa kuna wajane zaidi ya milioni 245 na zaidi ya nusu wanakabiliwa na kuishi kwenye umasikini mkubwa hasa katika nchi zinazoendelea.

Sauti -

Baada ya kisa mkasa wajane wakabiliwa na adha chungu nzima

IOM inaendelea kuwahamisha Waethiopia waliokwama Yemen

Zaidi ya wahamiaji 1900 kutoka Ethiopia ambao wamekwama karibu na mpaka wa Yemen na Saudi Arabia wasio na njia ya kurudi nyumbani huenda wakasaidiwa na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM wakati linarejesha shughuli zake nchini humo.

Sauti -

IOM inaendelea kuwahamisha Waethiopia waliokwama Yemen

Kongamano la UM na Afrika kuhusu utumishi wa umma limeanza Tanzania

Kongamano la siku tatu la Umoja wa Mataifa na Afrika linalohusu utumishi wa Umma limeanza leo jijini Dar es Salaam ambako wajumbe zaidi ya 300 kutoka mataifa 80 wanajadilia mbinu mbalimbali za kuboresha utumishi wa umma.

Sauti -

Kongamano la UM na Afrika kuhusu utumishi wa umma limeanza Tanzania

Fanya kitu kimoja, jifunze, fikisha ujumbe na toa msaada kunusuru wakimbizi

Jumatatu ijayo ni siku ya wakimbizi duniani ambapo ujumbe maalumu mwaka huu ni “fanya kitu kimoja, jifunze, fikisha ujumbe na toa msaada” kwani mkimbizi mmoja asiye na matumaini hao ni wakimbizi wengi.

Sauti -

Fanya kitu kimoja, jifunze, fikisha ujumbe na toa msaada kunusuru wakimbizi