Maji safi

Vijana Mwanza Tanzania wabuni mashine ya kusambaza maji kiteknolojia

Vijana jijini Mwanza Tanzania wamebuni mradi wa maji safi na salama kwa kutengeneza mashine za kielekroniki ikiwa ni sehemu ya juhudi zao kutimiza lengo namba sita la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa SDG ambayo yanategemewa kuwa yamekamilishwa kikamilifu ifikapo mwaka 2030.

Sauti -
4'2"

Mradi wa UN-Habitat wafungua fursa za kiuchumi kwa wakazi wa pwani ya Kenya, Mombasa

Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa kushirikian na serikali ya Kenya na wadau wametekeleza mradi wa kuimarisha makazi ya vitongoji duni kama sehemu ya mpango wa ukarabati wa jaribio wa nyumba za mabanda na kuwa makazi bora kwenye kaunti ya Mombasa.

Miundombinu ya maji katika nchi nyingi bado ni duni- Ripoti

Shirika la Afya Duniani WHO na kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachoratibu masuala ya maji, UN-Water wametaka hatua za dharura zaidi za kuwekeza kwenye huduma

Sauti -
1'48"

Maji safi na salama bado ni ndoto kwa wakazi wengi wa dunia- Ripoti

Ripoti mpya kuhusu pengo la usawa katika fursa ya kupata maji safi ya kunywa na masuala ya usafi  na kujisafi inaonyesha kwamba zaidi ya nusu ya watu wote duniani hawana fursa ya kupata huduma salama za usafi.

Sauti -
4'22"

Haki ya kupata maji na vifaa vya kujisafi ni chachu ya kutomwacha yeyote nyuma-Mtaalam UN

Haki ya binadmau ya kupata maji salama na huduma ya kujisafi kwa wote ni muhimu katika kufanikisha ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa, lakini pia ni ufunguo wa kufurahia haki zingine za bindamu amesema mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kupata maji salama na huduma za kujisafi, Léo Heller katika kuelekea siku ya maji duniani ambayo kila mwaka huadhimishwa Machi 22.

Ripoti 3 zaonesha athari wanazokabiliana nazo watoto wa Rohinghya

Utapiamlo uliokithiri, upungufu wa damu na kipindupindu vyawakumba watoto wadogo wa kabila la Rhohingya waliokimbilia nchini Bangladesh.

Sauti -

Ripoti 3 zaonesha athari wanazokabiliana nazo watoto wa Rohinghya