Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Mai-Ndombe

Jamii la kabila la watu wa asili ambao wanaishi kwenye misitu iliyo ndani zaidi katika ukingo wa Mto Congo nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC.
UNICEF/Vincent Tremeau

Miti ya migunga yarejesha matumaini kwa wakazi wa msitu wa Congo

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia wa kupanda miti aina ya migunga imeondoa tishio la ukataji miti holela kwenye msitu wa bonde la mto Congo, ambao ni wa pili kwa ukubwa duniani katika kufyonza hewa ya ukaa na sasa wananchi wananufaika sio tu kwa kupata mkaa bali pia hata watu wa jamii ya asili wanaweza kupata kitoweo porini.

Sauti
2'16"