maharage

Mikunde kwa lishe na kipato!

Ikiwa leo ni siku ya mikunde duniani, shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa

Sauti -
1'48"

CIAT na utafiti wa maharage nchini Uganda

Katika kurejelea baadhi ya habari zilizokuwa na mvuto zaidi mwaka uliopita wa 2018, tunarejea nchini Uganda hususan kwenye kituo cha kimataifa cha utafiti wa kilimo kwa nchi za kitropoki, CIAT ambako tulizungumza na Robin Buruchara, mtafiti wa maharagwe katika kituo hicho.

Sauti -
4'10"

03 Januari 2019

Hii leo jarida letu linaanzia na masuala ya kazi ambapo shirika la kazi duniani, ILO mwaka huu linatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa kwake

Sauti -
12'20"

Ujerumani yatoa dola milioni 2.3 kusaidia wakimbizi Tanzania na Rwanda

Ujerumani yatoa dola milioni 2.3 kusaidia wakimbizi Tanzania na Rwanda

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP limepokea zaidi ya dola milioni 2.3 kutoka Ujerumani ili kusaidia upatikanaji wa chakula

Sauti -