mahakama

28 Februari 2019

Ripoti ya tume huru ya Umoja wa Mataifa yaonesha kulikuwa na ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa kudhibiti maandamano ya wapalestina katika eneo linalokaliwa la Palestina.  Mahakama ya kuhamahama yapeleka haki Malakal, Sudan Kusini. Ujira mdogo katika sekta ya uvuvi n

Sauti -
13'4"

Uhuru wa mahakama uko hatarini Nigeria yaonya UN

Mtaalam maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu uhuru wa mahakama na mawakili, Diego Garcia-Sayán, leo ameonya kwamba hatua ya Rais wa Nigeria kumsitisha kazi na kumbadilisha mwanasheria mkuu wan chi hiyo ni kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu kuhusu uhuru wa mahakama na kutenganisha madaraka.

17 Disemba 2018

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Mkataba wa kimataifa wa wakimbizi kupitishwa leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani

Sauti -
11'54"

Mahakama hazijatetereka licha ya mitandao ya kijamii kuwa changamoto uendeshaji wa kesi

Licha ya mihemuko ya wananchi na viongozi katika kusaka ushawishi kwa mahakama ili uamuzi wa shaurio lililopo mahakama liweze kuegemea upande fulani, bado mahakama zimeendelea kuwa imara kuhakikisha zinatenda haki kwa mujibu wa tamko la kimataifa la  haki za binadamu.

Demokrasia duniani iko njia panda- Ripoti

Demokrasia duniani iko njia panda na hatua lazima zichukuliwe ili kuilinda na kuiheshimu, imesema ripoti ya kwanza iliyozinduliwa leo huko Geneva, Uswisi kuhusu hali ya demokrasia ulimwenguni.

Sauti -

Demokrasia duniani iko njia panda- Ripoti