maendeleo

Kama hakuna usawa na ujumuishi, Ajenda 2030 itasalia ndoto- Guterres

Umoja wa Mataifa umesema kuna ushahidi ulio bayana kwamba asilani maendeleo hayawezi kuwa endelevu kama sio jumuishi na hakuna usawa.

Sauti -
3'4"

Mipango sahihi ni muhimu kwa maendeleo sahihi- Dkt. Kituyi

Shida kubwa ya nchi zinazotegemea rasilimali za ndani ya nchi ni mpangilio usio mzuri wa vipaumbele wakati bei za bidhaa inapokuwa nzuri. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Mtendaji wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo, UNCTAD, Dkt.

Sauti -
2'7"

Ulemavu sio kulemaa, ninachohitaji ni kuwezeshwa:Mkulima Gideon Masinde

Ingawa hali ya ulevu hasa wa viungo mara nyingi huleta changamoto kwa muhiska kuanzia  katika maisha ya kawaida na hata katika kujikwamua kiuchumi jambo ambao huwafanya wengi wasio na msaada kuishia kuwa ombaomba, au kukabiliwa na hali ngumu sana. Lakini kama walivyonena wahenga penye njia pana n

Sauti -
2'55"

Ulemavu sio kulemaa, ninachohitaji ni kuwezeshwa:Mkulima Gideon Masinde

Ingawa hali ya ulevu hasa wa viungo mara nyingi huleta changamoto kwa muhiska kuanzia  katika maisha ya kawaida na hata katika kujikwamua kiuchumi jambo ambao huwafanya wengi wasio na msaada kuishia kuwa ombaomba, au kukabiliwa na hali ngumu sana. Lakini kama walivyonena wahenga penye njia pana njia , kauli inayothibitishwa na Gideon Malungula Masinde mwenye umri wa miaka 42 ambaye ana ulemavu wa miguu yote na hawezi kusimama wa wala kutembea lakini hakuacha ulemavu wake umlemaze zaidi. 

Ushirikiano wa nchi za kusini kiungo muhimu katika kufanikisha SDGs-Guterres

Ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo endelevu, SDGs, haiwezi kufikiwa bila mchango wa nchi za kusini na ukweli upo dhahiri.

Mchango wa sekta binafsi ni muhimu kwa SDGs:Espinosa

Uwekezaji bora na ushirikishwaji wa wadau wote katika jamii ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu au SDGs. Kauli hiyo imetolewa leo mjini Geneva Uswis na Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Maria Fernanda Espinosa alipozungumza na waandishi wa habari wa kimataifa kwenye makao makuu ya ofisi za Umoja wa Mataifa.

Urafiki na mshikamano vyaweza kuinusuru dunia:UN

Dunia hivi sasa inakabiliwa na changamoto nyingi, migogoro na shinishizo ambazo zinasababisha mgawanyiko katika jamii umesema leo Umoja wa Mataifa katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya urafiki.

UN sasa kuwa na mashiko mashinani- Guterres

Baada ya mashauriano ya muda mrefu, hatimaye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeridhia mapendekezo ya marekebisho ya mfumo wa maendeleo wa chombo hicho chenye wanachama 193. Marekebisho hayo yanalenga kusogeza zaidi UN kwa wananchi wa kawaida ili hatimaye maendeleo yawe dhahiri ya watu na si vitu.

Michezo kwa amani na maendeleo

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR leo Ijumaa limezindua rasmi ziara itakayofika kila kona ya dunia kuonyesha mshikano na w

Sauti -
1'28"

Ukimkomboa mwanamke, umeikomboa jamii

Nchini Uganda serikali imeamua imechukua hatua ya kuwawezesha wanawake vijijini ili wajiinue kiuchumi lakini pia waache kuwa tegemezi, kwa kuwapa mikopo midogo midogo ambayo inawapa fursa ya kufanyia shughuli za kimaendeleo.

Sauti -
3'13"